超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Mwonekano wa mitandao ya barabara katika Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong-Hong Kong-Macao, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 11, 2024
Mwonekano wa mitandao ya barabara katika Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong-Hong Kong-Macao, China
Picha ya droni iliyopigwa Oktoba 2, 2024 ikionyesha mwonekano wa Daraja la Nansha, linalounganisha Mji wa Guangzhou na Mji wa Dongguan, na meli zikiwa kwenye kando za mlango bahari wa Shiziyang katika eneo la Mlango wa Mto Pearl, katika Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China. (Xinhua/Liu Dawei)

Katika miaka ya hivi karibuni, ujenzi wa barabara za madaraja ya kuvuka mto na bahari katika Eneo la Ghuba Kuu ya Guangdong-Hong Kong-Macao nchini China umekuwa ukiendelea kwa kasi. Mitandao hiyo ya barabara kiunganishi za madaraja inafanya kazi muhimu sana katika kujenga na kuboresha mtandao mpana wa mawasiliano ya barabarani, kwenye njia ya reli, na njia ya majini katika Eneo la Ghuba Kuu hiyo, vilevile kuhimiza ushirikiano na maendeleo ya kina katika eneo hilo.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha