Lugha Nyingine
Njia mpya ya usafiri wa moja kwa moja wa meli za mizigo kati ya China na kusini mashariki mwa Afrika yafunguliwa Qingdao, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 17, 2024
Picha ya droni iliyopigwa tarehe 16 Desemba 2024 ikionyesha meli ya mizigo "GREEN NAGOYA" ikipakiwa mizigo katika Bandari ya Qingdao ya Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China. (Xinhua/Li Ziheng) |
Njia mpya ya usafiri wa moja kwa moja wa meli za mizigo kati ya Mji wa Qingdao wa China na kusini mashariki mwa Afrika imefunguliwa rasmi jana Jumatatu. Ikiwa inatoa huduma kila wiki, njia hiyo inaongeza njia mbadala ya usafiri wa baharini iliyo salama na ya haraka kati ya China na Afrika.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma