Kikao cha tatu cha wajumbe wote cha mkutano mkuu wa pili wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) kikifanyika kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 9, 2024. (Xinhua/Wang Jianhua) BEIJING - Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC), ambacho ni chombo cha juu zaidi cha mashauriano ya kisiasa cha China, imefanya kikao cha tatu cha wajumbe wote cha mkutano wake mkuu wa pili wa mwaka unaoendelea siku ya Jumamosi ambapo Wang Huning, Mjumbe wa Kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya baraza hilo alihudhuria.
Wajumbe kutoka mkoa wa Xinjiang wanaohudhuria mkutano wa pili wa bunge la umma la 14 la China wamepuuza kile kinachoelezwa kuwa ni utumikishwaji kwa nguvu mkoani humo. Akijibu swali kutoka kwa wanahabari, ofisa kutoka kijiji cha Saymahalla cha eneo la Luntai mkoani humo Bw.
BEIJING – Vyombo vya Bunge la Umma la China, Mahakama Kuu ya Umma ya China (SPC), na Idara Kuu ya Uendeshaji Mashtaka ya China (SPP) siku ya Ijumaa wakati wajumbe wakisikiliza ripoti za kazi zao kwenye kikao cha wajumbe wote kilichofanyika wakati wa mkutano mkuu wa pili wa mwaka wa Bunge la Umma la China, vimeahidi kuhimiza maendeleo ya kazi zao zenye sifa bora kwa hatua madhubuti katika Mwaka 2024 ili kusaidia ujenzi wa mambo ya kisasa ya China. Kikao hicho kilihudhuriwa na viongozi wa China Xi Jinping, Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi, na Han Zheng.