Lugha Nyingine
Mashindano ya Maonesho ya nguva wa China yaanza Sanya,Hainan (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 22, 2021
Mashindano ya Maonesho ya wasanii wanaovaa mavazi yenye kufanana na samaki aina ya nguva ambayo yanaandaliwa na Kituo cha usimamizi wa michezo kwenye maji cha Idara kuu ya Michezo ya kitaifa na idara zingine yameanza huko Atlantis Sanya, Hainan nchini China Desemba, 21, na kuvutia jumla ya wasanii zaidi ya 40 wa nchini humu kushiriki kwenye maonesho hayo.
Mpiga picha: Pu Xiaoxu (mwandishi wa habari wa Shirika la Habari la China, Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma