Lugha Nyingine
Roboti kuhudumia wateja kwenye Migahawa ya Michezo ya Olimpiki ya Beijing (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 07, 2022
Picha hizo zikionesha mgahawa wa waandishi wa habari wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijng 2022. Kwenye mgahawa huo vifaa vyote vya kujiendesha, na vya akili bandia vinaweza kutoa huduma ya chakula kwa masaa 24, ili kuhakikisha mchakato mzima wa kutoa oda, kupika, na kupeleka chakula unaweza kumalizilika kwa kujiendesha.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma