超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Roboti kuhudumia wateja kwenye Migahawa ya Michezo ya Olimpiki ya Beijing (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 07, 2022
Roboti kuhudumia wateja kwenye Migahawa ya Michezo ya Olimpiki ya Beijing
(Picha inatoka IC Photo.)

Picha hizo zikionesha mgahawa wa waandishi wa habari wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijng 2022. Kwenye mgahawa huo vifaa vyote vya kujiendesha, na vya akili bandia vinaweza kutoa huduma ya chakula kwa masaa 24, ili kuhakikisha mchakato mzima wa kutoa oda, kupika, na kupeleka chakula unaweza kumalizilika kwa kujiendesha.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha