超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Sikukuu ya Mkwa Mpya wa Jadi wa China inapokaribia, hali ya shamrashamra na na matumizi inazidi kuongezeka katika sehemu mbalimbali nchini China (10)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2023
Sikukuu ya Mkwa Mpya wa Jadi wa China inapokaribia, hali ya shamrashamra na na matumizi inazidi kuongezeka katika sehemu mbalimbali nchini China
Katika soko la Taiyangcheng mjini Rizhao, Mkoa wa Shandong, wakazi wengi wanakuja kununua vitu, popote pale pamejaa hali ya sherehe ya mwaka mpya wa jadi.

Kadiri siku ya Mwaka mpya wa Sungura wa China kwa kalenda ya kilimo ya China inavyokaribia, ndivyo watu wengi wanavyokwenda masokoni na magulioni kununua bidhaa za mwaka mpya wa jadi, ambapo sehemu mbalimbali nchini China zinajaa furaha ya mwaka mpya wa jadi na uhai wa kiuchumi unaofufuka siku hadi siku.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha