超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Sikukuu ya Mkwa Mpya wa Jadi wa China inapokaribia, hali ya shamrashamra na na matumizi inazidi kuongezeka katika sehemu mbalimbali nchini China (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2023
Sikukuu ya Mkwa Mpya wa Jadi wa China inapokaribia, hali ya shamrashamra na na matumizi inazidi kuongezeka katika sehemu mbalimbali nchini China
Kituo cha biashara ya maua ya Kutao cha Mji wa Qingdao wa Mkoa wa Shandong kikiwa katika pilikapilika za mauzo ya maua ya Nianxiao, watu wakitembelea kwenye bahari ya maua kuyanunua maua ili kukaribisha Sikukuu ya Mwaka Mpya wa jadi wa China.

Kadiri siku ya Mwaka mpya wa Sungura wa China kwa kalenda ya kilimo ya China inavyokaribia, ndivyo watu wengi wanavyokwenda masokoni na magulioni kununua bidhaa za mwaka mpya wa jadi, ambapo sehemu mbalimbali nchini China zinajaa furaha ya mwaka mpya wa jadi na uhai wa kiuchumi unaofufuka siku hadi siku.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha