超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Bunge la Umma la China lafanya mkutano na waandishi wa habari kabla ya mkutano wake mkuu wa mwaka

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 04, 2024
Bunge la Umma la China lafanya mkutano na waandishi wa habari kabla ya mkutano wake mkuu wa mwaka
Lou Qinjian, msemaji wa mkutano wa pili wa Bunge la Umma la 14 la China (NPC), akihudhuria mkutano na waandishi wa habari kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, China, Machi 4, 2024. (Xinhua/Cai Yang)

BEIJING - Bunge la Umma la China (NPC) limefanya mkutano na waandishi wa habari leo siku ya Jumatatu, ikiwa ni siku moja kabla ya ufunguzi wa mkutano wake wa mwaka.

Lou Qinjian, msemaji wa mkutano wa pili wa Bunge la Umma la 14 la China amewaelezea waandishi wa habari kuhusu hali ya mkutano huo uliopangwa kuanzia Machi 5 hadi 11.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

Picha