超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Wajumbe wanawake wa Bunge la Umma na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China wang’ara kwenye mikutano mikuu miwilli inayoendelea

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 09, 2024
Wajumbe wanawake wa Bunge la Umma na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China wang’ara kwenye mikutano mikuu miwilli inayoendelea
Liu Lei (wa pili, kushoto), mjumbe wa Bunge la Umma la 14 la China, akihudhuria mkutano wa wajumbe wote kutoka ujumbe wa Mkoa wa Heilongjiang wa China kwenye mkutano mkuu wa pili wa Bunge la Umma la 14 la China mjini Beijing, China, Machi 7, 2024. (Xinhua/Mou Yu)

Siku ya Tarehe 8, Machi ilikuwa Siku ya Wanawake Duniani.

Katika mikutano mikuu miwili ya China inayoendelea ya Bunge la Umma la China na Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC), wajumbe na washauri wa kisiasa wanawake wanafanya kazi muhimu katika kukusanya hekima ili kusukuma mbele maendeleo ya nchi ya China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Deng Jie)

Picha