Lugha Nyingine
Bunge la Umma la China lafanya kikao cha kufunga mkutano mkuu wa mwaka (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 11, 2024
Kikao cha kufunga mkutano mkuu wa pili wa Bunge la Umma la 14 la China kikifanyika kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing mjini Beijing, China, Machi 11, 2024. (Xinhua/Shen Hong) |
BEIJING - Bunge la Umma la 14 la China limefanya kikao cha kufunga mkutano wake mkuu wa pili wa mwaka leo siku ya Jumatatu kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing ambapo Rais Xi Jinping na viongozi wengine wa China wamehudhuria kikao hicho mjini Beijing.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma