超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Wakulima wafurahia mavuno katika?majira ya joto (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 11, 2024
Wakulima wafurahia mavuno katika?majira ya joto
Mei 9, wakulima wakichimba dawa ya mitishamba katika kijiji cha Mji wa Wilaya ya Butou ya Mji wa Taizhou, Mkoa wa Zhejiang(picha na droni). (Mpiga picha: Wang Huabin/Xinhua)

Wakati wa majira ya joto, mazao ya nafaka, mboga na matunda ya sehemu mbalimbali yameingia kwenye kipindi cha mavuno. Wakulima wamekuwa wakifanya pilikapilika mashambani ili kuhakikisha mazao yote yanawekwa kwenye ghala kwa wakati, wakifanya kazi shambani na kufurahia sana mavuno yao.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha