Lugha Nyingine
Tamasha la 34 la Naadam laanza katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani wa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2024
Tamasha la Naadam limeanza katika Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China jana siku ya Jumapili. Siku ya Naadam, ambayo kwa kawaida inasherehekewa katikati ya majira ya joto, na wakati mwingine inasherehekewa wakati wa majira ya baridi katika maeneo ya wafugaji ya mkoa huo wa Mongolia ya Ndani. Naadam inamaanisha "michezo" katika lugha ya Kimongolia. Shughuli za Naadam zikiwemo pamoja na mieleka, mchezo wa kurusha mishale, na mbio za farasi, ambazo zinajulikana kwa jina la "Michezo Mitatu ya Wanaume."
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma