超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Kijiji kidogo cha Watu wa kabila la Wamiao chahimiza ustawishaji na maendeleo zaidi ya kijiji (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 19, 2024
Kijiji kidogo cha Watu wa kabila la Wamiao chahimiza ustawishaji na maendeleo zaidi ya kijiji
Kuku wakivuka mto katika Kijiji cha Wuying kwenye mpaka kati ya Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini-Magharibi mwa China na Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Julai 21, 2024. (Xinhua/Huang Xiaobang)

Kijiji cha Wuying katika eneo la mpaka kati ya Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini-Magharibi mwa China na Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, kikiwa na historia ya zaidi ya miaka 200, ni kijiji kidogo cha watu wa Kabila la Wamiao, ambacho kiko kwenye eneo la milima mirefu inayovuka mpaka kati ya mikoa ya Guangxi na Guizhou.

Hapo awali, milima na mazingira magumu yasiyoweza kupitika yaliwafanya wenyeji wa huko kuwa maskini sana. Katika miaka ya hivi karibuni, Kijiji cha Wuying kimefanya juhudi zaidi katika kuendeleza uchumi, elimu, utamaduni na mshikamano wa kabila, na kadhalika kuhimiza ustawishaji wa kijiji na kupata maendeleo zaidi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha