Lugha Nyingine
Fan Zhendong wa?China Anyakua Medali ya kwanza ya Dhahabu?ya Mchezo wa Tenisi?ya Mezani?kwa wanaume?kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2024
Fan Zhendong wa Timu ya China amemshinda Truls Moregardh wa Sweden kwa seti 4: 1 Siku ya Jumapili, Agosti 4 kwenye fainali ya Mchezo wa Tenisi ya Mezani ya mchezaji mmoja dhidi ya mmoja kwa Wanaume ya Michezo ya Olimpiki ya Paris, na kushinda medali ya kwanza ya dhahabu ya pekee yake ya Olimpiki kwa mchezo huo, na kuwa mchezaji wa Grand Slam ambaye ameshinda Kombe la Dunia, Ubingwa wa Dunia wa Tenisi ya Mezani na ubingwa wa Olimpiki wa tenisi ya mezani kwa mchezaji mmoja dhidi ya mmoja.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma