超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Mali ya Urithi wa Utamaduni Usioshikika Kando Mbili za Mfereji Mkuu wa China Yaonyeshwa Mkoani Hebei (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2024
Mali ya Urithi wa Utamaduni Usioshikika Kando Mbili za Mfereji Mkuu wa China Yaonyeshwa Mkoani Hebei
Mtembeleaji wa maonyesho akipiga picha ya vitu vinavyooneshwa kwenye Jumba la Maonyesho ya Mali ya Urithi wa Utamaduni Usioshikika wa Mfereji Mkuu wa China mjini Cangzhou, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, Agosti 2, 2024. (Xinhua/Mu Yu)

SHIJIAZHUANG - Ukiwa na eneo la ujenzi lenye ukubwa wa jumla ya mita za mraba 31,000 na jumla ya eneo la maonyesho lenye ukubwa wa mita za mraba 15,885, Jumba la Maonyesho ya Mali ya Urithi wa Utamaduni Usioshikika ya Mfereji Mkuu wa China katika Mji wa Cangzhou, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China linaonyesha vitu mbalimbali ambavyo ni bora zaidi vya mali ya urithi wa utamaduni usioshikika wa mikoa na miji minane kando ya Mfereji Mkuu wa China, vikilifanya jumba hilo kukaribishwa zaidi na wakazi wa mji huo na watalii kutoka sehemu mbalimbali nchini.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha