超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Kazi mpya ya taaluma yaibuka wakati tasnia ya Magari ya Kujiendesha bila dereva ikizidi kuendelea

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 16, 2024
Kazi mpya ya taaluma yaibuka wakati tasnia ya Magari ya Kujiendesha bila dereva ikizidi kuendelea
Mjaribishaji wa magari ya teknolojia za kisasa yaliyounganishwa na mtandao, Wang Juan akionekana pichani wakati wa jaribio la magari ya kujiendesha yenyewe barabarani bila dereva huko Wuhan, Mkoa wa Hubei wa China, Julai 4, 2024. (Xinhua/Wu Zhizun)

Kutokana na maendeleo ya mambo ya umeme, mitandao, mageuzi ya teknolojia za kisasa, pamoja na maendeleo ya teknolojia ya vyombo kujiendesha vyenyewe bila dereva, magari ya kujiendesha yenyewe bila dereva hatua kwa hatua yanakuwa uhalisia wa kawaida. Kadri tasnia hiyo inavyozidi kuendelea, wanataaluma wengi zaidi wanakuwa wajaribishaji wa magari hayo ya kujiendesha yenyewe bila dereva. Kazi ya taaluma ya "Mjaribishaji wa magari ya teknolojia za kisasa yaliyounganishwa na mtandao" imeorodheshwa kuwa moja kati ya kazi rasmi 19 mpya na Wizara ya Rasilimali Watu na Hifadhi ya Jamii ya China mapema mwaka huu.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha