超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Washindi wa medali za dhahabu wang'ara katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 30, 2024
Washindi wa medali za dhahabu wang'ara katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Hidayat Heydarov wa Azerbaijan akitoa ishara baada ya Fainali ya Mchezo wa Judo kwa Wanaume wa uzito wa Kilo 73 dhidi ya Joan-Benjamin Gaba wa Ufaransa kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 Ufaransa, Julai 29, 2024. (Xinhua/Li An)

PARIS – Jionee mkusanyiko wetu wa picha zenye kujumuisha washindi mbalimbali wa medali za dhahabu ambao wameonyesha vipaji vyao vya kipekee na ustadi murua wa kimichezo katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris 2024. Hebu tusherehekee mabingwa hawa na mafanikio yao ya kushangaza!

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha