超碰caoporen国产公开,亚洲男人在线天堂2019香蕉,国产精品对白刺激,九九热这里只有国产中文精品2

Washindi wa medali za dhahabu wang'ara katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 30, 2024
Washindi wa medali za dhahabu wang'ara katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
(Kushoto hadi Kulia) Washindi wa medali za fedha Thomas Daley/Noah Williams wa Uingereza, washindi wa medali za dhahabu Yang Hao/Lian Junjie wa China na washindi wa medali ya shaba Rylan Wiens/Nathan Zsombor-Murray wa Canada wakishiriki kwenye hafla ya kutunuku medali washindi baada ya fainali ya mchezo wa kujiviringisha juu kutoka kwenye jukwaa la mita 10 na kupiga mbizi kwa wanaume kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris 2024 huko Saint Denis, karibu na Paris, Ufaransa, tarehe 29 Julai 2024. (Xinhua/Li Ying)

PARIS – Jionee mkusanyiko wetu wa picha zenye kujumuisha washindi mbalimbali wa medali za dhahabu ambao wameonyesha vipaji vyao vya kipekee na ustadi murua wa kimichezo katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris 2024. Hebu tusherehekee mabingwa hawa na mafanikio yao ya kushangaza!

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha